Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Friday, September 19, 2014

Ukimuona kwa macho utasema huyu ndio
mwanamke kumbe ni bonge la kimeo…
ilikuwa mida ya jioni natoka zangu kazini
mara ikaingia massage..baby uko wapi
nimekumiss…nikamjibu ndo natoka kazini
now..yeye..Basi naomba upitie nyumbani
japo nikuone nimekumiss sana we
mwanaume.
Nikaona isiwe shida ngoja nikamuone roho
yake itulie nipo njiani wazo likanijia…Nikapitia
duka moja maarufu Sinza na kumnunulia
zawadi ya viatu kama suprize nimejikoki
mwenyewe naenda kwa babybaby…mademu
bwana..!
Kufika akanipokea kwa bashasha na mabusu
motomoto dady’s home..Yeye.. najua
umechoka baby wangu kaa kwa kochi
upumzike nataka nikutengenezee juice fresh
unayo ipendaga..nikamwambia ngoja kwanza
nikupe zawadi yako nikatoa vile viatu na
kumpatia akafurahi sana na
kuvijaribisha..vilimtosha na
kumpendeza..Nikapewa busu lingine la
sekunde kazaa.,
Akatoka kwenda kuandaa juice..huku simu
yake na vile viatu akiwa ameviacha jirani na
kochi nililokaa..Nikamuuliza simu yako
inabando..akanijibu ndio..Nikaichukua
nakuingia sehemu ya kubrowse
internent ..akili ikanituma nifanye udukuzi
kidogo nikafungua application yake ya
watsupp mbona nilichoka..
Nilikuta msururu wa wanaume anaochati nao
nakuwatumiana picha akiwa amevaa pichu tu
nakukaa kimitego…huku wakiambiana ni jinsi
gani wamemisiana kupeana utamu..kijasho
kikanitoka. .nikajikaza mwenyewe na
kuendelea kuperuzi kwa wote idadi ikafikia
wanaume kumi na moja na kwa mtiririko wa
chating yao wote waonekana wameshapewa
utamu..Napenda kusema kitu kimoja hapa
tangu nimeanza mahusioano nae tumefikisha
mwaka sasa sikuwahi hata siku moja kuishika
simu yake.,
Nilishikwa na hasira sana yani huduma zote
ninazo mpatia kumbe nahudumia
kahaba..nikamwita na kumuuliza aniambie
hao watu ni akina nani..utetezi alionipa
anasema ni marafiki zake nisimfikirie vibaya..
Nilitamani nimkate kofi moja la nguvu yani
ushahidi wote ninao hapa unanijibu rejareja
hivyo..nikamuuliza huo urafiki pamoja
nakugongana..!we kweli kiboko sasa unataka
nikupe cheo gani huu ni umalaya au
kipaji...Akaanza kulia huku akiomba
nimsamehe..
Kwakweli nilichanganyikiwa nakujiuliza hivi
huyu binti anawezaje kutupanga wengi
hivi..nilichofanya nikuchukua viatu nilivyokuja
navyo nikamwambia nimejitoa kwenye hiyo
cheni na kama viatu atakuleta mwingine hivi
naondoka navyo..
Nipo njiani kurudi home massage za kuomba
asemehewe na kuto rudia tena zinamiminika
kwenye simu yangu huku akijuta na kudai
mimi ndo ananipenda kiukweli nikimwacha
hatopata furaha ya maisha nakuomba nimpe
last chance abadirike…nikamjibu
nakumwambia huwa natoa msamaha kwa
makosa mengine lakini sio kwa hilo la
kuchapiwa naomba tuachane kwa amani tu
mama…akanipigia simu sikupokea akarudia
tena na tena nikapokea..
Nikamuuliza unasemaje..akanimbia
ananipenda sana na hawezi kuishi bila mimi
uku akilia..nilichomjibu ni kwamba siwezi
kuendelea nae.,
Kitu kingine kinacho nichanganya hapa
nikwamba ametishia kujiua na yupo chini ya
uangalizi wa dada yake..jamani hata kama ni
msamaha nikifiria idadi yake ya wanaume
nachefuka kabisa..napigiwa simu kila mara
kuombwa nirudishe moyo na ndugu zake
ninachowajibu ni kwamba siwezi ajaribu
kumchagua mwingine atakayempenda
sana..mpaka nafikia hatua ya kuwaandikia hii
habari huyu binti amelazwa hospital presha
imeshuka..
Hapa nafanyaje wakuu kiukweli huyu
mwanamke amenitoka kabisaa..hofu yangu
ni hiyo ya kulazwa kisa mimi inamaana
nikigoma hata kwenda hospital..si ndio
majanga yataongezeka..msaada wenu wakuu
kichwa changu kimevurugwa kabisa.,

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni