Maisha siku hizi yamebadilika sana matukio yasiyo ya kiungwana yametawala katika dunia ya leo vitu ambavyo mwanzo ilikuwa vigumu kuvishuhudia leo hii ni kawaida sana kuviona sasa huyu mwanafunzi kapiga picha kama hizi tena akiwa darasani maana yake nini hapa niseme tu asiefunzwa na mama yake hufunza na ulimwengu
Monday, August 25, 2014
Hii ni zaidi ya laana sasa Inakuwaje mwanafunzi kama huyu apige picha kama hizi tena ndani ya Darasa
Posted by Unknown on 2:55 AM with No comments
Categories:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment