‘Modo’ anayekuja kwa kasi Bongo, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amefunguka kuwa, haoni hatari kuvaa nguo za kihasara kwani anahisi utandawazi ndiyo unamsukuma kufanya hivyo.
Akizungumzia tabia yake ya kupiga picha za nusu utupu kisha kuzitupia mtandaoni, mrembo huyo ambaye aliwahi kushiriki mashindano ya Miss Tanzania miaka iliyopita alisema: “Navaa hivi kidijitali, si unajua tena. Mimi sioni tatizo.”
Akizungumzia suala la usagaji, Mabeto alisema, baadhi ya wanawake wamekuwa wakimsifia sana na kuonekana kama wanaoelekea kumchomekea mambo hayo machafu lakini akishaona dalili kama hizo huwapotezea.
0 comments:
Post a Comment