Oops! wahenga walisema ajali haina kinga........
Blac Chyna ni rafiki yake kipenzi kim kardashian na pia ni mama mtoto
wa rapper Tyga. Mdada huyo ambaye zamani alikuwa ni stripper,
amekuwa ni gumzo kwa muda mrefu kutokana na makalio yake
ambayo watu wengi wanasema ni ya bandia yaani fake.
Lakini mrembo humbo ambaye kwa sasa ni model, alikanusha uvumi
huo na kusema makalio yake ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Yaliyojiri hivi karibuni, ni kwamba makalio hayo yalianza kuporomoka
taratibu wakati anatembea na alipigwa picha akijaribu kuyafunika na
sweta.
Inasemekana dada huyo alioneka akikimbilia kwa dotka kwa ajili ya
marekebisho ya fasta.....majanga!!
Watu wanasema makalio ya Kim yanaweza kuwa bandia pia―Samaki
mmoja akioza, wote wameoza heheh
0 comments:
Post a Comment