Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Monday, August 18, 2014


Watu wanne wa familia mbiili tofauti wakazi wa mtaa wa Nyerere A, eneo la
Mabatini jijini Mwanza wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya
kuangukiwa na mawe wakiwa wamelala.
Tukio hilo limetokea majira ya saa Nane usiku wakati mvua kubwa
iliyoambatana na upepo mkali pamoja na radi ilipokuwa ikinyesha.
EATV imefika katika eneo la tukio na kushuhudia wananchi wakishirikiana na
jeshi la uokoaji na zimamoto pamoja na askari polisi wakiendelea na kazi ya
kufukua miili iliyonasa chini ya jiwe kubwa.
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Nyerere A, mabatini jijini Mwanza Hassan
Maulid amewataja waliofariki dunia kuwa ni Sayi Otieno na Kwinta Kweko
ambao ni mume na mke huku watoto wawili Kelfine Masalu na Emanuel
Joseph wa familia ya Bw.Joseph William nao pia wakipoteza maisha baada ya
chumba walichokuwa wamelala kuangukiwa na jiwe lililoporomoka kutoka juu
mlimani.
Kaimu kamanda wa jeshi la uokoaji na zimamoto mkoa wa Mwanza inspekta
Augustino Magere amewashauri wakazi wa jiji la Mwanza waishio maeneo ya
18/2014 Watu 4 Wafariki Kwa Kuangukiwa na Jiwe Wakiwa Wamelala | Udaku Specially | Home of Gossip News
http://www.udakuspecially.com/2014/08/watu-4-wafariki-kwa-kuangukiwa-na-jiwe.html 2/3
Tweet 1
« Prev Post Next Post »
milimani kuchukua tahadhari ili kuepusha maafa kama yaliyojitokeza.
Wakisimulia tukio hilo katika hali ya majonzi na simanzi, baadhi ya wakazi wa
mtaa huo wa Nyerere A, wanaeleza namna walivyoupokea msiba huo
mkubwa.
Huyu ndiye mtoto pekee aliyenusurika kifo baada ya wazazi wake kufariki
dunia kufuatia nyumba yao kuangukiwa na jiwe kubwa.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni