Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Monday, August 18, 2014

MAYA: SIJAPOTEZWA KISANAA

Stori: Gladness Mallya
Mnanikosea! mwigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa watu wanaomsema kuwa amepotezwa kisanaa wanamkosea kwani anafanya sanaa kwa malengo.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’.
Maya alitoa kauli hiyo wikiendi iliyopita baada ya kusambaa kwa taarifa mitandaoni kuwa amepotezwa kisanaa na wasanii chipukizi kiasi cha kumfanya asisikike kama zamani.
“Sijapotezwa, kwenye sanaa kila mtu ana mipango yake, mimi sikurupuki, nafanya sanaa kwa malengo, hata sasa hivi nipo lokesheni Bagamoyo,” alisema Maya.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni