Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Monday, August 18, 2014

ODAMA AMKANA PEDESHEE

Stori: Mayasa Mariwata
Si kweli! Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekanusha vikali madai ya kutembea na pedeshee mmoja anayedaiwa kuwa ni mmiliki wa baa moja iliyopo maeneo ya River-Side, Ubungo jijini Dar.
Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama'.
Baada ya kusomewa madai hayo ambayo yamesambaa kwenye mitandao ya kijamii, Odama alikanusha vilivyo na kusema wanamsingizia tu.“Hee! Mbona huyo mtu wala simjui, ndiyo kwanza nazisikia hizo habari wakizikuza kwenye mitandao,” alisema Odama.
Odama 'akijiweka fiti'.
Kwenye madai hayo mtandaoni, Odama anadaiwa kuwa hajatulia na ndiyo sababu ya kutomwanika baba mtoto wake, jambo ambalo mwenyewe amesema si kweli bali ni utaratibu wa maisha yake aliojiwekea wa kutomuanika mzazi mwenzake.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni