Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Monday, August 18, 2014


Mwanaume mmoja huko nchini Uganda Amekamatwa baada ya Kujifanya ni
Mwanamke ili apate kazi ya House Girl, Zoezi lake hilo lilifanikiwa na kuweza
kupata hiyo kazi lakini siku zilivyozidi kwenda Boss wake ambae ni Mama
Mwenye Nyumba alishtukia mchezo na kugundua ni Mwanaume, Baada ya
kugundulika jamaa alichukua kipigo kutoka kwa Majirani , alipoulizwa kwanini
ameamua kufanya hivyo alijitetea akasema Maisha ni magumu na kupata kazi
kama mwanaume ni ngumu...


0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni