Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Sunday, August 17, 2014



Ni mazingaombwe yanayoweza kupatikana tanzania pekee duniani.
'ikulu inatoa tamko lao kuwa bunge litaendelea na katiba lazima ipatikakane
bila hata ya kuwepo umoja wa katiba ya wananchi [ukawa].
Na wakati huo mwanasheria mkuu wa serikali anakuja na vituko vingine vya
kuueleza umma wa watanzania kuwa bila [ukawa] katiba mpya haiwezi
kupatikana.na tena anaenda mbali kwa kuwaomba kwa moyo mweupe na
kiunyenyekevu wale aliowaita matumbili,ati tu kwa sababu wanapigania
maslahi ya umma wa watanzania kuwa ame miss manjonjo yao ya kupigania
ukombozi wa watanzania!
-hapa tukubali tukatae lazima kutakuwa na ombwe la uongozi nchini.
Na askofu zackari kakobe atashinda kwa unabii wa maneno yake kuwa c.c.m
itasambaratika katika ramani ya dunia na hatutaiona wala kuisikia tena!

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni