Wadau Sijui haka Katabia ni Ugonjwa ama Kawaida, Nimekuwa Mtu wa
Kupiga chabo sana yaani kabla sijaoa nilikuwa nakaa uswahilini sasa kule
mabafu yapo nusu nusu na mengine ni mabafu ya magunia tu, sasa nilikuwa
nakatabia kakupiga chabo wadada ama wamama wakiwa wanaoga , kwa
sasa nimeoa nina mke na mtoto mmoja ila kale katabia ka kupiga chabo bado
kananisumbua mpaka nikuwa namvizia mke wangu akiwa anaoga au akiwa
amekaa kihasara nampiga chabo bila yeye kujua hapo napata raha na moyo
kusuuzika...Nataka niache haka katabia nifanyaje?
0 comments:
Post a Comment