Huwa najiuliza na Kucheka nikiona Mijadala ya Watanzania waishio nje ya
nchi jinsi wanavyojigamba na kujiona wa maana kuliko Watanzania waishio
Bongo , Mijadala ya kujionesha kuwa wanazo mingi huwa kwenye blogs na
kwenye mitandao ya kijamiii, William Malecela alishwahi kuwasema hawa
jamaa na kuweka hali halisi ya maisha ya kuishi ulaya wakaja juu sana
kumtukana vibaya kwa kuweka wazi jinsi maisha ya nje yalivyo magumu
Sasa Embu Niambieni nani ambae anaishi nje ambae amafanikiwa kiuchumi
au kijamii kiivyo kiasi cha kuwa mfano mzuri kwa wanaotamani kwenda kuishi
nje ya nchi ?
Tutabanana hapa hapa Bongo
0 comments:
Post a Comment