![]() |
Thuthukile Zuma |
Thuthukile Zuma amehamishwa kutoka katika nafasi ya afisa uhusiano wa umma (Public Liaison officer) na kupandishwa cheo ndani ya miezi miwili akiwekwa katika nafasi muhimu na yenye nguvu " Mkuu wa wafanyakazi" katika wizara ya huduma za posta na mawasiliano Raisi wa africa ya kusini Jacob Zuma ameshutumiwa kwa kuwa na mfumo wa upendeleo (Nepotism) baada ya kumteua mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 25 kushikilia cheo kikubwa serikalini.
![]() |
Rais Jacob Zuma |
0 comments:
Post a Comment