Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Saturday, August 16, 2014

Baada ya kujiona amefanya kazi kwa miaka 5
bila kuongezewa mshahara, cheo au hata
kupewa bonus jamaa akaenda kulalamika kwa
HUMAN RESOURCE MANAGER(H.R) wa kampuni
yao,
H.R akashangazwa na malalamiko ya jamaa na
kumwambia hajawahi kufanya kaz kwenye
kampuni yao ata siku 1 iweje adai nyongeza ya
mshahara??
Jamaa alipoanza ubishi kuwa ameajiriwa miaka
5 iweje aambiwe hajawahi kuhudhuria kazini hata
suku 1? akapigwa swali siku ina masaa mangapi?
Akajibu 24, akaulizwa tena sehemu gani ya siku
hufanya kazi,akajibu hufanya kazi kwa theluthi
ya siku coz anafanya kazi kwa masaa 8 kwa
siku so 8/24=1/3=THELUTHI
Akaulizwa mwaka una siku ngap akajbu 366,
akaambiwa kwahiyo kwa mwaka zipo siku 1/3 ya
366=122 unazotakiwa kufanya kaz lakn
hufanyi, akaulizwa tena weekend anaendaga
kazini? Na weekend ina siku ngap? akajibu
haendagi kazini wikiendi, kwa mwaka kuna jumamosi
52 na j2 52 so jumla siku 104, akaambiwa siku
122 ukitoa 104 unapata siku 18 zilizobaki
kufanya kaz kwa mwaka,
jamaa akashangaa hee! Akaambiwa tena
kwa wastani kwa mwaka anaumwa na kupewa
ruksa kwa siku 7 kwahiyo 18 toa 7 zinabaki siku za kazi
11 ambazo tukitoa sikukuu 11 za mwaka mpya,
mapinduzi, muungano,, mei mosi, sabasaba,nanenane,
nyerere day, xmas, boxing day, idd mosi, na iddi pili.
inamana kwa mwaka mzima huhudhuriii kazini sasa
unadai nn!
Wakati jamaa anazidi kushangaa akaambiwa
unadaiwa pesa nyingi sana na kampuni kwasababu
inaonyesha kuna pesa unalipwa wakati hata
kazini huhudhuriii. Jamaa AKAZMIA.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni