
Shilole alisema mpenzi wake huyo aligundua kwamba aliteswa na wivu na
kusababisha wagombane hivyo alipotambua kosa lake, aliomba msamaha
wakarudiana na mambo yakawa swari.
“Kikubwa ni kwamba ameomba msamaha ndiyo maana na mimi sikuwa na
hiyana, nikapatana naye siku chache tu baada ya kugombana,” alisema
Shilole.Hivi karibuni wawili hao waliripotiwa kuwa wamegombana na kila mtu
kuchukua hamsini zake.
0 comments:
Post a Comment