Nilipokuwa shule ya msingi kuanzia la 4 hadi
la
7
maksi zangu za hesabu kwenye mitihani
zilikuwa
zinacheza kwenye 03%hadi 08%.Matokeo
yalikuwa yanatangazwa mbele ya darasa!
yanapotangazwa mwalimu anaanza kuwaita
wanafunzi kwakuanziamaksiza chini kwenda
juu
(0-100), kwahiyo darasa lote linajua
makaratasi
yakiletwa lazima niitwe kama si wa kwanza
basi
wa pili.Siku moja mwalimu akaanza kuita
majina,mpaka akafikia kwenye maksi
30%,40%,50%,60%,70% bado tu mi
hajaniita.
Watu wakaanza kuniangalia waliokuwa karibu
wakaanza kuniuliza....""eeeh umepasua
hujaitwa,
ilikwaje??" Nilianza kuvimba kichwa, huku
mwalimu anaendelea kugawa tu makaratasi.
Yakabaki makaratasi ya waliopata 80%-90%
bado mi sijaitwa tu. Mara akabaki na karatasi
moja mkononi, darasa lote macho kwangu
hawaamini kinachotokea maana bado sijapata
karatasi. Mwishoni mwalimu akaangalia
juu,kishaakasema "kuna ng'ombe hajaandika
jina kapata 0% aje achukue karatasi lake

0 comments:
Post a Comment