Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Thursday, August 7, 2014


Ugonjwa wa Ebola unaendelea kuwa tishio kubwa kwa watu Afrika Magharibi
huku idadi kubwa ya watu ikipoteza maisha.
Kufuatia hofu ya kuambukizwa ugonjwa huo hatari kwa kugusa au kuwa
karibu na wagonjwa au miili ya waliopoteza maisha kwa ugonjwa huo, ndugu
wa marehemu wameripotiwa kuiburuza miili ya ndugu zao kutoka majumbani
kwao na kuitupa hovyo mitaani hali inayoongeza hatari zaidi ya maambukizi.
Kwa mujibu wa Daily Mail, ugojwa huo hatari unaoweza kusababisha mtu
kutokwa na damu machoni, mdomoni na masikioni umeshaua takribani watu
9,000 katika nchi za Afrika Mashariki.
Madaktari wanaohudumia wagonjwa wa Ebola wanapata changamoto kubwa
ya kukwepa maambukizi huku baadhi yao wakiripotiwa kupata maambukizi na
kupoteza maisha.
Hali ya hatari imesababisha abiria wanaosafiri kutoka Afrika Magharibi
kufanyiwa vipimo katika viwanja vya ndege kwa hofu ya kuusambaza ugonjwa
huo katika nchi wanazokwenda.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni