Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Friday, August 15, 2014


Ndege ya Malaysia Flight MH 370 iliyopotea miezi mitano iliyopita imerudi
tena kwenye vichwa vya habari ikiwa na ripoti za kushangaza.

Ripoiti ya benki ya Kuala Lumpur, Malaysia inaoensha kuwa akaunti za abiria
wanne wa ndege hiyo zimechukuliwa pesa July 18 mwaka huu fedha ambazo
zitajwa kuwa zaidi ya £20,000.

Msaidizi wa mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai Malaysia, Izany Abdul
Ghany ameiambia Mirror kuwa wanaendelea kufanya uchunguzi kufahamu
jinsi ambavyo pesa hizo zilivyopotea.

“We are investigating the case as unauthorised access with intent to commit
an offence,We are getting CCTV footage from the bank to identify the
suspects involved.”

Ameeleza kuwa pesa hizo zilitolewa katika akaunti ya abiria watatu na
kuwekwa katika akauti ya abiria wanne kabla ya kutolewa kabisa.

Ndege ya Malaysia ilipotea March 8, 2014 ikiwa imebeba wafanyakazi 12 na
abiria 227 kutoka katika mataifa mbalimbali na bado haijapatikana huku
maafisa wakitangaza kuwa watu wote waliokuwa kwenye ndege hiyo
wamepoteza maisha.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni