Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Friday, August 15, 2014


Msanii wa muziki na filamu H.Baba ambaye yupo ndani ya ndoa na msanii
mwenzake Flora Mvungi ametoa maoni yake kwa kile kinachooendelea kati ya
pande mbili za kishabiki za Diamond na mpenzi wake Wema.
Kupitia ukurasa Instagram, H.Baba amesema:

Tanzaniteone uyo anawaambia sina chakusema kuhusu baba yangu na
mama yangu ila baba analolakuwaambia Wema na Naseeb. Wema kapewa
lawama nyingi ila asilaumiwe kwasababu kuu nyingi tu anaeweza
kumuongoza Wema ni Naseeb au mama Wema na Martin, upande mwingine
Wema na Daimond wanamakosa kwani wanasubiri nini kuowana kama

Kweli wanapendana wangefunga ndoa yaya yote yasingetokea kusaidiana
kazini ipo ata mie huwanapanda na Mama Tanzaniteone kwenye show
zangu pia filamu ya wife nashiriki. ushauri wangu Diamond unaweza
kumuongoza Wema vyema tuu kama mimi ninavyomuongoza Mama
Tanzaniteone ninaimani unaweza kumuongoza vyema zaidi yetu sisi. Wawili
wakipendana kuingilia penzi ni inshu ila wanapendezana sana chamsingi wangesaidiana kwenye kazi zaidi kama wema anavyoonekana akitoa
#saport kubwa kwa #NASEEB na naseeb aonyeshe ushirikiano kwenye mov
za wema awepo pia watauza sana kama tunavyouza filamu zetu Mie
namamatanzaniteone Ikitoka leo inaisha fasta.

Pia amuongoze kwenye kipindi cha WEMA SHOW mnasaidiana kwelii ata
maadui wataogopa #diamond anaweza kumpandisha wema na wema
anaweza kumpandisha #daimond wote mnanguvu sana mnamashabiki sana
#owaneni mtulie tuuu kwani nn mnakosa mbona sisi tupo tunaishi vyema
kwa uwezo wa mungu kazi tunapata mtoto tunamlea vyema hatujalala Njaa
kwasababu mwanaume kazini mwanamke kazini #NDOA raha sana
asikudanganye mtu unaheshimika popote palee kama #Mume wa mtu na
#mke wa mtu #Muda ndo huu umriii uwoo unakwenda fanyeni yenu fasta
#leo juu kesho chini #tunawapenda sana tunawatakia maisha mema yenye
Furaha kama sisi apa tunafuraha Muda wote? Karibuni kwenye ndoa muone
rahaaa..

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni