Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Saturday, August 9, 2014

Hili ni basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo
linafanya safari zake kati ya Mtwara na Dar
es salaam limeungua asubuhi ya August 09
likitokea Mtwara kuelekea Dar es salaam.
Taarifa ya awali inasema kuwa hakuna
abiria aliyepata madhara yoyote juu ya
kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea
kijiji cha Mihambwe mkoa wa Lindi.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni