Baada ya Alikiba kuunfollow watu aliokuwa
akiwafollow kwenye akaunti yake ya
Instagram ameeleza sababu za kufanya
hivyo.
Kupitia mtandao huo, Alikiba ameandika:
Thank you for taking time to jot down your
opinion . It would be good if you
understood my point of view as well . The
social platform that keeps me in touch with
my fellow artists , fans and others across
the world is twitter. Instagram is limited to
pictures… hence more of a preference then
an interaction platform . On twitter, I will
continue to interact with my fellow artists
and celebrities , entertainment and political
shareholders , my dear fans and all others
See you on twitter and thanks again for
taking the time to share your opinion .
Much appreciated
Haya ni baadhi ya maoni ya watu
wanaomfollow.
Haulefadhili
Inakuwaje hakuna mtu unaye mfollow bro!!
Ti me it doesn’t make sense and this means
hakuna mtu yyte unaye mpenda au
kumkubali or wat?? Wewe kwangu ni kama
brother ila kwa hili la (( 0 follow)) silielewi.
Williamkiteleki
Even mi nimekua sana disapointed coz
dunia now days imehamia kwenye social
netwrk bro kiba..so kwa star kama wewe
ukitaka ku coup na mastaa wenzako na hata
watu mbalimbali na kujifunza mengine
kutoka kwako lazma uwe nao karibu kwenye
mitandao ya kijamii(follow them) coz dunian
huwezi jua kila kitu kuna vingne lazma
utajua kupitia wengne.. dats how life is.. so
it will be gud sana kama ukizingatia hili
kaka.. unaweza ukaona ni kitu kidgo bt am
sure utajifunza vingi kupitia hilo bro
Thursday, August 7, 2014
Ali Kiba Aamua Ku Unfollow Watu Wote Aliokuwa Anawafollow Instagram, Mashabiki Wamwambia Sio Deal
Posted by Unknown on 3:37 AM with No comments
Categories:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment