Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Thursday, August 7, 2014

AJALI ENEO LA AFRIKANA JIJINI DAR

Gari aina ya Nissan Hard Body lenye namba za usajili T524 ALW likiwa mtaroni baada ya ajali.
Lori lililogonga gari ndogo likiwa mtaroni pia huku mvua ikinyesha.
Lori hilo lenye namba za usajili T590 BST.
Raia wakishuhudia Nissan likiwa mtaroni.
Zoezi la kulivuta gari hilo kutoka mtaroni likianza.Zoezi la kutoa gari hilo mtaroni likiendelea.Muonekano wa gari hilo baada ya kutolewa mtaroni likiwa limeharibika vibaya.Dereva wa gari hilo la Nissan Hard Body akilitazama gari lake kwa karibu lilivyoharibika.
AJALI hii imetokea leo mchana eneo la Jogoo, Afrikana jijini Dar es Salaam baada ya trela lenye namba za usajili T590 BST kuligonga gari dogo aina ya Nissan Hard Body lenye namba za usajili  T524 ALW na kulitupa mtaroni. Hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni