AJALI hii imetokea leo majira ya saa 9:45 mchana katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara baada ya bodaboda kumgonga kijana mmoja ambaye hakujatambulika jina lake mara moja na dereva wa bodaboda kukimbia na kuacha chombo chake .
(PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779, KAMA UNA TUKIO USISITE KULITUMA KUPITIA NAMBA YETU HIYO NASI TUTALIRUSHA HEWANI KATIKA TOVUTI HII)
0 comments:
Post a Comment