Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Saturday, September 20, 2014

usiwasahau wakupao Moyo sasa

Yafurahie matatizo yako ya sasa kwani ndio mafanikio yako ya kesho, uwatafutao leo kesho watakutafuta, na wakuchukiao sasa muda ukifika watakupenda tu!

Na waliotoa kauli mbaya juu yako watazikana kauli zao. Ila usiwasahau wakupao Moyo sasa, maana ndio chachu ya mafanikio yako ya baadae.

Mungu hakuumba JUA bila MVUA, SHIDA bila RAHA, CHUKI bila UPENDO, pia ameahidi FARAJA Kwenye MAJONZI. Mungu yu pamoja nawe, kila la heri.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni