Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Thursday, September 18, 2014






Pengine huwa unajiuliza kwamba kwanini mzungu akivaa bikini na kutembea ufukweni mwa bahari hakuna anae shituka wala kupiga kelele, lakini binti wa ki afrika akivaa bikini na kutembea ufukweni au kupiga picha utasikia maneno mengi ya kumsifia, au kumsema kwamba yuko uchi. Ajabu ni kwamba wale wale wanaompigia kelele binti wa kiafrika ndio wasioshituka wamuonapo binti wa kizungu. Je, unajua kinachosababisha utata huu?
                           kwa jibu la swali hilo bofya - Read more



Tatizo sio utamaduni, mila au mazoea. Ukweli ni kwamba wanaume wengi wa kiafrika huvutika zaidi wanapomuona binti wa kibantu kuliko mzungu. Hali hii inasababishwa na mazoea ya wanaume wengi wa ki afrika kuwa na mahusiano (sex) na wasichana wa kwao (wabantu) na hivyo kuufanya ubongo kuvutika zaidi na rangi au maumbile ya aina fulani.

Ndio maana mwanaume anaejenga uhusiano na msichana mwembamba, si ajabu akatafuta msichana mwingine mwenye umbile linalofanana na hilo endapo kama ataachana na huyo aliyenae. Ukweli huu unaungwa mkono na wanasayansi walioendesha uchunguzi maalum kutaka kujua vikolombwezo vinavyo mvutia mwanamume.


Mamia ya wanaume waliofanyiwa uchunguzi wa picha za ubongo walionesha kupata msisimko zaidi  katika hypothalamus (sehemu ya ubongo inayoshughulika na mahusiano/sex) kila walipo oneshwa picha za mwanamke wa asili yake hasa kama muhusika hajapata kuwa na uhusiano na mpenzi wa rangi au asili nyingine.

 Hata hivyo tofauti ilijitokeza kwa wanaume waliooa wanawake wa asili/rangi tofauti. Hata hivyo wanasayansi hao walikubali pia kwamba sura na umbile la mwanamke lilisaidia kuongeza msisimko kwa namna tofauti....

Soma zaidi HAPA

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni