Siku moja YESU aliwaambia Wanafunzi wake, bebeni mawe. Kwa uvivu wa PETRO akabeba jiwe dogoo!
Baada ya njaa kuuma, YESU akayageuza yale mawe kuwa mikate na kusema, kila mtu ale peke yake alichobeba, PETRO hakushiba!
Siku ya pili YESU akaamuru tena wabebe mawe. Eeeh, PETRO alijitwisha jiwe kubwa akijua hili likigeuzwa kuwa mkate atakula mpaka ashibe na kuacha la siku ya pili.
baada ya kutembea mwendo mrefu YESU akasema sasa rusheni hayo mawe na kadiri utakavyorusha mbali ndio urefu wa maisha yako.
Petro akarusha umbali mfupi sana na akawa Nabii wa kwanza kufa.
0 comments:
Post a Comment