Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Monday, September 1, 2014

arnold-19Diehard Fans wa filamu za Terminator za mwigizaji Arnold Schwarzenegger wameshtushwa na jina la filamu ya tano ya Terminator ambalo ni  “ Terminator: Genisys”. Jina hilo ambalo limetangazwa na Arnold Schwarzenegger  limepokea comment na mitazamo hazi kutoka kwa mashabiki wake. Kampuni za Paramount Pictures na Skydance Productions zinazosimamia filamu hizi pia zimekandiwa kwa jina bovu la filamu kubwa kama hii inayopendwa dunia nzima.
Maneno Terminator: Genisys limeonekana kwenye kiti huku Arnold akiwa amekikalia kama ishara kuwa jina limepitishwa.Hii ni filamu ya tano ya Terminator kuigizwa na  Arnold Schwarzenegger na imetajwa kutoka kupitia Paramount Pictures mnamo  July 1, 2015.
arnldtermi

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni