Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Tuesday, August 19, 2014

WATOTO WAMKUMBUSHA UYATIMA NISHA

Stori: Rhoda Josiah
MWANADADA anayefanya vizuri katika kiwanda cha filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema watoto wanamkumbusha namna alivyoishi akiwa yatima, hivyo anawapenda sana.
Msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’.
Nisha alitoa kauli hiyo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar juzikati wakati wa hitima ya kuwakumbuka marehemu ambapo Nisha alionekana kuwa kivutio kwa watoto waliofika viwanjani hapo kwa ajili ya kaswida, kwani mara baada ya kisomo kumalizika, watoto hao walimfuata na kucheza naye.
“Kiukweli, nimefurahi sana kucheza nao kwani watoto ndiyo watu pekee wanaonipa furaha katika maisha yangu kwani mimi ni mtoto yatima,” alisema.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni