Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Thursday, August 7, 2014

Wanaume kama naongea uongo njooni mpinge hapa

Nilikuwa najiuliza kwa nini wanaume wanchepuka nikagundua wanawake tumejishau kidogo.

Katika kufanya kautafiti kidogo nimejikuta nimekuja na hili hapa.
Hitaji la mwanaume la kwanza ni KUFANYA NGONO, (KUFANYA MAPENZI)...


Kwa hiyo wanawake wenzangu tuache kujidanganya kuwa sijui umbo.
Chakula sijui out looo...
Mwanume yupo tayari kusexi eneo lolote na wakati wowote na mda wowote............ kam unapinga naomba utoe hoja ukiwa na mifano stahiki....

Stop cheating ourselves let just give him his need.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni