Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Thursday, August 21, 2014


Wanaume kwa kawaida hutumia mbinu nyingi pale wanaposaka papuch.
Mdada utasifiwa hadi sifa ambazo hata malaika hana! Mara romantic eyes...
sijui nini nini mouth (mnajua wenyewe mnavyoita) nk nk.
Wakati huohuo hata anayesifiwa anajua kabisa hizo sifa hana. Lakin
anadhani pengne anayemsifia anaziona maana kuna vimisemo vya
kudanganyana kama Yako machoni mwa mtu, mapenz hayana formula nk. nk.
Lakini niwaeleze tu hasa wadada ukiona umesifiwa sifa hadi ambazo huna
ujue lengo la msifiaji ni kukugegeda tu na akishafanya hivyo lazima akupige
chini labda kama ameona kingine cha ziada huko faraghani.
Jihadharini na sifa zisizo za kweli

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni