Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Friday, August 15, 2014

Ukiguswa Gusika halafu HAMASIKA!

Ulipoamua kumgawia Moyo wako uliapa KWA SHIDA NA RAHA,huku unatabasamu ndani ya Suti/Shela yako ukiwa na lots of Expectations LAKINI usisahau umeoa/umeolewa na BINADAMU mwenye Mapungufu hata kama hukuyaona kabla hujaingia ndoani..
Ameshakuwa mkeo/mmeo...Unagundua kwamba AMECHEAT na ushahidi unao...Mna mtoto/watoto ndani tayari
MASWALI YA KUJIULIZA:
1.Ukimuacha kwa sababu amekusaliti na kumuona hafai,Nani ni Mkamilifu??
2.Ukimuacha kwa sababu amekusaliti,huyo unayeenda kumpa moyo wako upya yeye sio Binadamu ni Malaika?
Zimwi likujualo halikuli likakwisha,Tena Heri huyo wako ukute ana udhaifu mmoja tu wa 'kujinyoosha kidogo tu kamguu ka kati' ni afadhali kudeal na Kitu kimoja..Unaweza ukamuacha mwenye kaudhaifu kamoja ukaenda kupambana na mtu mwenye madhaifu 6...Sawa hana udhaifu kama wa yule ila ana mijiudhaifu mingine tu kama 6 hivi..Hajali...Levi..Hakufikishi...ila ANA HELA...
Umekuta Condom kwenye Suruali ya Mmeo asubuhi ukiwa unamnyooshea???Mwambie tu Baba nimeona..Nakutakia kazi njema..na busu takatifu juu...Akirudi jioni mpikie chakula anachopenda na mpe penzi moja matata ambalo hujampa kama Mwaka na usimkumbushie ulichoona asubuhi MILELE...Lazima awaze sana na kujirudi...na ipo siku atafunguka tu na ku-apologize YEYE MWENYEWE!Mwanaume hakomeshwi kwa MANENO..tushayazoea..Ukimtukana ndo unaharibu zaidi...Mwanaume anakomeshwa kwa Akili na Busara..How you handle him at his faults...Ajue amekucheat umejua na ndo unampa HUBA TEULE zaidi,it will make him think twice kwanini anakutenda na wewe unazidi kumpenda..Sasa kizazi hiki cha Wanawake WANATAKA USAWA...NTAMKOMESHA...TIT FOR TAT...AKITOKA NA MIMI NATOKA
Pole sana...Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe...Asema BWANA!
Ukiguswa Gusika halafu HAMASIKA!

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni