Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Friday, August 15, 2014

Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania Kwanza, Agustino Matefu (kushoto) akiandika baadhi ya maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani). Kulia ni mmoja wa viongozi wa taasisi hiyo. Habari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL TAASISI ya Tanzania Kwanza imewapa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) siku saba kurudi bungeni la sivyo itatoa siri ya umoja huo kupokea fedha chafu, kutoka kwa taasisi kubwa ya nje ya nchi, kupitia asasi moja ya kiraia, kwa lengo la kuhakikisha nchi haitawaliki!. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Agustino Matefu wakati akiongea na wanahabari leo katika Ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni