Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Saturday, August 16, 2014



Mwanzoni mwa wiki hii kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kulisambazaa
taarifa za Meninah kuhusishwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii
mwenzake ambae ni Diamond Platnumz ambapo kupitia Leo Tena ya Clouds
Fm Meninah amekubali kuongelea hii.
Matano aliyoyasema Menina ni haya hapa chini…
1.Sina uhusiano wowote na Diamond Platnumz.
2.Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa Dodoma kwenye uzinduzi wa video ya
Miaka 50 ya Muungano.
3.Sijawahi kuwasiliana nae hata namba yake ya simu sina kwenye simu
yangu.
4.Mimi napenda uhusiano wao kati yake na Wema Sepetu.
5.Nampenda Wema kama dada yangu na namkubali Diamond Platnumz kama
msanii mwenzangu.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni