Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Saturday, August 16, 2014



Baada ya mashabiki wa Wema kuamua kuanzisha kampeni maalum dhidi ya
Diamond wakimtaka amrudishe wema wao kwenye game walilomzoea
#BringBackOurWema, mashabiki wa Diamond nao wameibuka na yao.
Katika Instagram imefunguliwa akaunti maalum ya watu wanaojiita
TeamDiamondTz nao wameanzisha kampeni ya kumtetea Diamond huku
wakimtaka Wema kuachana na starehe zisizo na faida kama alivyosema
Diamond.







0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni