Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Thursday, August 7, 2014





Picha za Kimahaba za Mwanamuziki na Nguli wa Bongo movies mrembo
Shilole Zimevuja Mtandaoni, Picha hizo zinazoonyesha alikwa ndani ya Kanga
Moko Akiwa na Mpenzi wake wa sasa Nuhu Mziwanda...Shilole alipoulizwa
kuhusu Picha hizo alisema haya:
“Kweli hizo picha ni zangu na Nuh (Mziwanda), tulijipiga kwa ajili ya
kumbukumbu na tulikuwa na muda mrefu hatujiachia si unajua tena Mwezi
Mtukufu?
“Unajua simu yangu haina password na nina watu wengi wa karibu so nahisi
ndiyo wamezivujisha na nikimjua namtoa kabisa kwenye network yangu
maana siku nyingine anaweza kunifanyia jambo kubwa baya.”

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni