Mtu huyu alipata ajali akiwa anaelekea kazini asubuhi moja.
Kutokana na ripoti walizotoa majirani na wana familia ni kwamba aliondoka nyumbani akiwa amechukia na kuhuzunika kwa kuwa hana hela ya kulipia pango na pia mama yake ni mgonjwa na anahitaji msaada wa fedha kwa ajili ya matibabu.......Jambo lililomfanya akatishwe tamaa na kuwa na msongamano wa mawazo
Akiwa katika dimbwi la mawazo akajisahau kuangalia upande wa pili mpaka lori likamgonga na kumvunja mguu.
Ni binadamu kama mimi na wewe, hebu angalia yaliyomkuta kwa sababu ya mawazo ambayo wote tunayo katika maisha yetu ya kila siku.
Mungu atunusuru na kutupa mioyo ya uvumilivu na tuyahimili matatizo yanayotukabili sisi na familia zetu na yasituletee mamatizo na ya kutuharibu kabisa.
Mungu amponye na kumpa nafuu ya maisha huyu ndugu.
•Tafadhali usipite bila kuandika neno AMEN....
AMEN YAKO INA NGUVU YA KUMPONYA NA KUKUPA NAFASI YA KUTAFAKARI MAISHA YAKO NA NAMNA UNAVYOYAKABILI MATATIZO.......
0 comments:
Post a Comment