Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Sunday, August 17, 2014

POWER OF A WOMAN IN MAKING THE MARRIAGE WORK!


1st Lesson SOMETIMES A WOMAN WINS BY LOOSING! Unaweza
mwanamke ukajiona umepoteza kitu ila in reality umeshinda! Na unaweza
kuona umeshinda ila in reality umepoteza. Usiendekeze hisia za moyo
zinavokuongoza na wapambe! Tumia akili na busara zaidi! Mfano unapewa
data mumeo yuko guest kafumanie, kuliko kwenda na kumuita shigongo
kuvunja utu wako na wa mumeo na kutia doa maisha yenu shukuru tu
taarifaa, mpe mumeo benefit of the doubt sali kwa Mungu wako. Kuchapiwa ni
siri ya ndani indeed! Usimchunguze mumeo kama CIA au KGB sababu
ukitafuta sanaa kitu utakipataaa! Manake wanawake kuna tabia unamfatilia
una withold eveidence hiku unaikusanya hadi uhakikishe siku ukimsomea
mashtaka hana pakutokea ushahidi unatosha kuconvict. Hahahaaaaaa!
2nd Lesson! BY NATURE MARRIAGE IS SELF DESTRUCTORY, LOOK
FOR SOLN TO MAKE IT WORK! Yaani nature yenyewe mambo ya kumkinai
mwenzio, kutamani vipya, ni natural tu, hayahitaki hata sababu, sasa baada
ya kuwa mtu wa lawama, kulaani kwanini mambo kama hayo yawatokee,
kumuona mwenzio hana shukrani, spend more time kudeal na situation kuliko
mwenzio. Kama uzazi umekubongesha work out, acha kula hivo. Kuliko
kudemand the impossible kuwa sababu umemzalia akupende hivo hivo
kwenye jimwili jipya sio rahisi. Shirikiana kutafuta soln.
3rd Lesson USISAHAU HATA SIKU MOJA AT A POINT LIFE YOU WERE HIS
NUMBER ONE NDO MAANA AKAKUOA! Hata kama anakunyanyasa saivi,
heshima haipo, anachepuka, labda wewe upo number 100 saivi not even
once dont let you forget once upon a time you were his number 1, he married
you, yes you na mapungufu yote yako, not Lily the cutest, mima the big as.s,
Rose the beauty queen etc, wote aliwaona yet still akakuona wewe ugly betty
or whatever! Tatizo ni kujisahau, wakati anakuoa you might have been ugly
still lakini una heshima, upo humble, etc sasa umo ndani ndo unajifanya king
kong atakwambia nini si ushindani hamna! Ukiona mambo magumu rudi back
in the days ujiulize ulimloga vipi wakati ule umloge tena!
4th Lesson UTAMALIZA MABUCHA NYAMA NI ILE ILE! Unakuta mtu
unamuacha mumeo kisa muhuni ana michepuko? Mwanaume gani asie na
michepuko? Hahahaaa! Utamuacha wa kwanza utatafuta 2, wembe ule ule,
utahangaika mpaka basi! Kabla hujamuacha mumeo kisa michepuko jiulize
nani hachepuki utaempata? Au mimeo hela hana! Hata unaemkuta nazo
zaweza kusiha vile vile. Tulia vumilia unyolewe. Wenzio wote wametulia wewe
unajilegeza! Ifike mahala fumba macho uombe Mungu siku ziende maana hata
ukisema uende kwingine mwendo ule ule! Unamuacha mumeo unaanza kuiba
wa wenzio! Akili matope hayo?
5th Lesson KABLA HUJAPANIC KWA JAMBO MOJA KUMBUKA MEMA
YAKE ELFU MOJA NDO UAMUE KUHUSU HIKO KIMOJA! Mtu kakuoa
miaka 5, anakupa yote utakayo, anakiabudu malkia wake, hakuna
unachokosa, shabash kateleza kidogo shetani kampitia sisi wote binadamu
kakusoea kachepuka one time! Basi wewe. Unasahau mema yoooooote ya 5
years huko kumshika ndo unafunga mabegi na kutokomea! Khaaaaa! Au
mmeishi vizuri miak 7, mwaka huu ndo kabadilika, japo uvumilie na kuomba
atambue makosa na kujirudi miaka yote 7 watia kwenye dustbin, unashupalia
matendo yake mwaka huu na kudai talaka! Sasa na mwanaume mda
mwengine nae anakereka anaona kama wema wake wa miaka 7 sio issue
basi nendaa tu! Power of love sio kufaidi goodtimes ni kuhimili mikimikiki!
Wapambe nuksi kina lara 1 tunakutia ndimu ondoka bwanaa, kwanini afanye
hivo, ndo unakole kweli kweli. Usiruhusu tendo moja la kijinga likupotezee 7
yrs of your life n hard work! Kwani ukisamehe hilo fumanizi utababuka?
Vitakuuma vitapoa mnaanza upya! Hatoki mtu inaitwa! Atafanya visa wee
akikuona mkomavu atachoka mwenyewe!
6th lesson! JIFUNZE KULET THINGS GO! Sio basi ukimfumania mara moja
kila akikosea kidogo unamshikia kooni ile ugoni wa mwaka juzi. Kitu kidogo
unaretrieve file! Au ulimsaidia mwaka juzi alipokwama, akikunyima hela
kidogo unakumbushia, mwaka juzi fyoko fyoko! Daaah! Sio issue. Inatakiwa
uwe mkomavu ukisema umesamehe kitu basi ndo unakizika kooni forever!
Haukitaji tena! Unamuepusha shaitwani kukaa kati kati yenu kila wakati!
Unavomsamehe mara nyingi inaondoa hata ile ladha ya kukusoea tena!
Sababu anajua utamsamehe na wala hutomuuliza tenaaa! Mwenyewe
anajistukia. Ananza kuona kweli huyu si binadamu wa kawaida, labda
namtendea ndivo sivo.
7th lesson! MUME NAE BINADAMU LOLOTE LINAWEZEKANA! Usiwe na
expectations kubwa sanaaaaaa! Ukamuona yule malaika labda hawezi
kukosa. Aaaaah! Wapi! Jua tu yule binadamu kupitiwa inawezekana pia, na
hata akipitiwa unajua umejipanga kusort hizo issue out kuendeleza libeneke!
Ila kama ndo ulikuwa unamuona mungu mtu, siku akiteleza waweza kuga kwa
pressure! Wakati cha ajabu hamnaa mbona! Kwani ye wa kwanza kufanya
hivo? Au wa mwisho? Hamnaaaaa!

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni