Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Sunday, August 24, 2014

NDO KUSEMA NA MIMI NINAO?

MBABA: Aise dokta nina ishu
DOKTA: Vipi tena mzee mwenzangu?
MBABA: Huyu kijana wangu kaambukizwa gonjwa la zinaa na msichana wetu wa kazi
DOKTA: Duh pole walete tuwatibu kabla hawajaambukiza mtu mwingine
MBABA: Na mimi nimeambukizwa maana nilikuwa nakajiuhusiano na huyo msichana.
DOKTA: Loh mzee mwenzangu pole sana
MBABA: Nadhani kwa msingi huu na mke wangu atakuwa anaugonjwa pia
DOKTA: Ohooo mambo gani haya kuambukizana ambukizana sasa ina maana na mimi ninao?

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni