1. Ulinzi- Mwanamke huitaji kuwa na mwanaume kama mtu wa kumlinda naye kuwa na uhakika wa ulinzi wa maisha yake kwani anakuwa na mtu wa kusaidiana naye kutatua matatizo yake.
2. Ufahari-Mwanamke anapokuwa katika mahusiano hujisikia fahari kwani naye anakuwa katika kundi la watu wenye wenza na hivyo humfanya kujiona yu bora.
3. Heshima- Kwa kawaida mwanamke kukaa bila ya kuwa na mwenza huzua maswali mengi miongoni mwa jamii na hasa wamzungukao jambo ambalo naye humshumbua na kujiona kama sio mwenye heshima katika jamii. Ila anapokuwa na mtu humfanya aheshimiwe na kuonekana na mwanamke sahihi.
4.Kutibu mihemko- Mwanamke hupenda anapokuwa na haja za mwili kuwa na mtu mmoja hivyo jambo hili kwa walio wengi huwafanya wawe katika mahusiano tofauti na wanaume walio wengi.
0 comments:
Post a Comment