Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Saturday, August 23, 2014

Kumradhi kwa picha ya Malaika huyu " Hii
imetokea arusha jana saa tano usiku jamaa
yuko na mke na watoto wao wawili wa kike
wanatoka dinner wanarudi nyumbani mara
jamaa wa toyo wawili wakasimamisha gari
yao na kuwaamuru watoe vyote
walivyonavyo kaka hakusimama akawasha
gari na kukimbia wakaanza kukimbizana
wanaelekea mbauda ndipo watu waliokua
kwenye Toyo wakapiga risasi kwa nyuma
maskin ikampata mtoto wake wa miaka
nane ambae alikuwa amelala kwenye siti ya
nyuma straight kwenye ubongo na hawakua
na habari ile wamefika mahala penye
usalama wacheki ni nn wanaona mtoto
damu zinamtoka machon kumkimbiza
hospitali mount meru wameshindwa kumtoa
risas mtoto akafarik jana hyohyo majira ya
saa saba .. Huzun sana baba mtoto
anafanya kaz UN liberia alirud tu likizo na
hyo mambo ya ebola juzi sasa ndio alikua
anarud kwenye kazi yake kuhusu kudeal na
ugonjwa wa ebola liberia na jana ilikuwa
last night na familia kaipeleka dinner haya
mtoto wake ndo huyo kauawa wazazi wake
wamechanganyikiwa... Kumradhi kwa picha
ya mtoto"
Jamani wezi huyu malaika mkamuua kwa
tamaa zenu za kutaka mali bila kuzitolea
jasho!!!! ee Mungu Okoa Taifa hili... vijana
wawezeshwe Ajira za halali waondokane na
dhambi hii na hali yao ya kujitoa muhanga
kwa kazi hii ngumu ya wizi na inaleta
maumivu kwa watu wasio na Hatia kama hii
familia...wajaalie Wenye dhamana na Taifa
hili waache ulafi na ufisadi ili rasilimali za
nchi hii ziwanufaishe
By Joyce Kiria

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni