Leyla Na Dj Cobbo |
Amesema Kamwe Hataki Kuzungumza Na Wifi Yake Khadija Yussuf Ambae Ni Dada Wa Mzee Yussuf Chanzo Cha Ugomvi Hakijulikani Na Amesema Hayuko Tayari Kupatanishwa Nae Hata Kama Itatokea Watu Wawapatanishe.
Leyla Amesema Kheri Kukaa Mbalimbali Kuliko Kupatana Kila Mtu Afanye Yake. Amewataka Mashabiki Waendelee Kumpa Sapoti Katika Kazi Zake.
Khadija Yussuf |
0 comments:
Post a Comment