Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Friday, August 22, 2014


Hivi karibuni kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu uhusiano kati ya Beyonce na
Jay Z kutaka kuvunjika. Story hizo zinapata nguvu kutokana na historia ya
ugomvi uliotokea kati Jay Z na mdogo wake Beyonce kwenye lift.

Camera ya mapaparazi ikakutana na mama wa Beyonce akiwa anatoka
restaurant na kumuuliza kuhusu ukweli juu ya maisha ya ndoa ya mwanae na
Jay Z. Alichojibu mama huyo ni kwamba kila kitu kipo sawa, aliongeza zaidi
kwa kusema wanaochukia wataendelea kuchukia lakini wawili hao (Jay Z na
Beyonce) mambo yao yapo vizuri.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni