Katika Kupita Pita kutafuta Umbea wa Leo uvunguni Nimekutana na
Picha alizopost Jokate Akiwa na Mwanaume Mmoja Kutoka Kenya
Anayejulikana Kwa Jina Nick Mutuma , Jokate Mwogelo Ameandika Katika
Hiyo Picha Kuwa "Huyu Ananimaliza nampeleka kwa Babu wangu wa
Kingoni" .
0 comments:
Post a Comment