Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kali ya mwaka alipotoa kauli kwamba kutokana na makalio yake makubwa, anapokuwa anatembea barabarani husababisha ajali kwani baadhi ya madereva wakware hukosa umakini kwa kumkodolea macho.

Akizungumzia makalio yake na matiti anayodaiwa kuyabusti kwa dawa za Kichina, Aunty Lulu alisema: “Unajua umbile langu linawachengua sana baadhi ya wanaume, achilia mbali hilo la kusumbuliwa, wapo baadhi ya madereva ninapokatiza barabarani hunikodolea macho na kushindwa kuwa makini.
“Matokeo yake baadhi hugonga magari mengine na wengine hujikuta wakipeleka magari yao pembeni bila kujijua na kupata ajali, uroho wao unawaponza.”
0 comments:
Post a Comment