Peter Msechu na Baba Levo ni wasanii kutoka mkoa wa Kigoma na wote wawili wana sifa ya kuwa wachekeshaji sana. Wasanii wengi wanajua kwamba ukipanda tour bus na wawili hawa basi ni kama unaangalia show ya comedy njia nzima ya safari.
Peter Msechu amekuwa ana post vichekesho mbalimbali, kutana na hivi viwili kuhusiana na kazi yao baada ya kukosa show.
0 comments:
Post a Comment