Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Thursday, August 14, 2014

bbobi-wineTaarifa zilizonifikia ni kuwa video ya wimbo wa  Bobi Wine unaoponda ushoga Uganda umefutwa Youtube na wasimamizi wa kazi za msanii huyu,Ghetto president Bobi Wine amesema anaogopa watu watatumia maneno yake kumthuru yeye ndio maana akatoa amri kufutwa kwa video ya wimbo “Size Yo” mtandaoni. Bobi ameweka wazi kuwa kazi mpya kutoka kwake itaitwa “Medicine” na itatoka hivi karibuni.
Mwanzo wa July Bobi Wine alinyimwa visa ya Uingereza sababu ya wimbo wake unaopinga na kuponda ushoga.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni