Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Friday, August 29, 2014


Mwanadada anayefahamika kama Blandina Chagula (Johari) amefunguka na
kuweka wazi kuwa hajawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Muigizaji
mwenzake Ray wala Ostaz Juma kama ambavyo imekuwa ikizushwa katika
mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari,Johari amefunguka hayo
na Kusema hawapendi watu wa Aina hiyo.
"Ni kweli haya mambo yanakuwa yanatokea na kuzushwa lakini ukweli
kwamba sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ray lakini mahusiano
yetu ni ya kikazi tu,lakini pia sijawahi kuwa na uhusiano na Ostaz Juma

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni