Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Friday, August 15, 2014

IRENE PAUL AISHI NA MWANAUME BILA NDOA

Na Rhoda Josiah
Angelina Jolie wa Bongo’ Irene Paul amekiri kuwa kwa sasa hajaolewa ila anaishi na mwanaume kwa kumpikia na kumpakulia.
Angelina Jolie wa Bongo, 'Irene Paul'.
Akiongea hivi karibuni, Irene ambaye mara nyingi ni mchoyo wa kuyaanika maisha yake ya kimapenzi alisema; “Sipendi watu wajue kuhusu maisha yangu nje ya sanaa. Kwa kifupi sijaolewa ila sitafuti mpenzi kwani nina mtu ambaye tuko siriasi zaidi.
'Irene Paul' akipozi.
“Naishi naye, nampikia na kumpakulia ila ndoa bado, nadhani kilichobaki ni hicho kufunga pingu za maisha.”

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni