Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Monday, August 25, 2014



WAMEMALIZANA! YOBNESH Yusuph ‘Batuli’ anayekimbiza kunako soko la
Bongo Movies, amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi
wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi yalishaisha.

Akistorisha na paparazi wetu, Batuli alisema hataki kumsikia wala kujua
habari za Mtunisi kwani mapenzi yalikuwa zamani lakini kwa sasa kila mtu ana
maisha yake yaani yeye Mtunisi ana mke na yeye ana mpenzi wake.

“Mimi kwa sasa nina maisha yangu na Mtunisi ana maisha yake
nawashangaa wanaoniandama kwa maneno kwamba bado niko naye, jamani
Mtunisi ana mke na mimi nina mpenzi hivyo sitaki kusikia habari hizo kabisa,”
alisema Batuli.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni