Mrembo aliyeripotiwa kuwa mchepuko wa Jay tangu miaka miwili iliyopita
ameamua kuachia audio na video ya wimbo wake maalum kumdiss Beyonce,
wimbo alioupa jina la ‘Sorry Ms Carter’.
Katika wimbo huo, msichana huyo ameeleza kuwa alikuwa anamheshimu
sana Beyonce na ndio sababu aliamua kutochepuka na mumewe, lakini
anaona Bey amevuka msitari na ndio maana ameamua kumvaa.
Mrembo huyo anamkumbusha Beyonce kuwa mumewe anapenda sana
wasichana wazuri wanamitindo kama yeye.
“You know what I was gonna respect you but since you crossed over into my
lane it’s time to check you“The man? He likes model chicks. He likes all
naturally flawless model chicks, like me.

0 comments:
Post a Comment