Facebook
Twitter

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "

SOMA HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA "SIMU YA AJABU "
Fuatilia kisa hiki kila siku jioni kupitia ukurasa wa Simu ya Ajabu. Nawe waweza kutumiwa kisa hiki cha kusisimua kinachosomwa na wengi kupitia whatsapp namba 0713317171 au kuipiga namba hiyo

Monday, September 22, 2014



Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tangu wasanii wa music kipya wa Zanzibar kupata usajiri wa chama chao na kupata katiba yao huku ikiwa imewapa kipaumbele cha kutosha jamaa wameanza harakati za kutosha katika kuachia ngoma,
Leo msanii ambaye aliwahi kuchukua tunzo katika Zanzibar Music Award mwaka 2011 kama sanii bora chipukizi ambaye anajulikana kama Man Tuzzo ameachia cover lasingle yake mpyaaaa inayoitwa "Tawile".
Man Tuzzo amsema ngoma iyo inazungumzia mrembo alietendwa kisha akaenda kwake na ikawa kila kitu ndio tu na itakuwa radio kuanzia j4.

0 comments:

Post a Comment


  • Copyright 2014 Uvunguni